Mataifa ya Afrika Mashariki yameshirikiana vyema kuandaa mchuano wa CAF

  • | Citizen TV
    436 views

    Kwa mara ya kwanza katika historia, mataifa ya Afrika mashariki, kenya, Uganda na Tanzania, yameshirikiana kuandaa michuano ya mataifa ya CAF, mashabiki wa soka katika ukanda huu wakipata fursa adhimu ya kushuhudia mashindano ya haiba ya juu barani.