Mataifa ya Afrika yahimizwa kukabiliana na athari za tabianchi

  • | KBC Video
    2 views

    Mataifa ya Afrika yamehimizwa kuwekeza katika mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika nchi zao, itakayosaidia kutatua athari za mabadiliko hayo zinashuhudiwa duniani. Wakiongea wakati wa makala ya pili ya kongamano kuhusu ustahimilivu wa Afrika lililoandaliwa jijini Nairobi, wana-mazingira walidai kwamba umuhimu mkubwa na fedha vimeelekezwa katika uzuiaji, ikilinganishwa na ukabilianaji wa athari zilizopo tayari, hali ambayo imesababisha mataifa yasiyojiweza kuathiriwa pakubwa na mabadiliko ya tabia nchi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive