Mataifa yaafikia mkataba kuhusu usafirishaji wa mafuta

  • | Citizen TV
    3,641 views

    Kenya na Uganda zimeafikia kutatua mzozo wa muda mrefu ambao sasa utafungua tena usafirishaji wa mafuta kupitia Kenya. Azimio hili likiafikiwa kwenye kikao kati ya serikali ya Kenya na kampuni ya mafuta ya Uganda.