Matamshi ya Rais Ruto kuhusu utekaji nyara yakinzana

  • | NTV Video
    1,290 views

    Mwezi agosti mwaka 2024 rais William Ruto alisema kuwa hakuna mkenya aliyetekwa nyara katika maandamano ya kupinga mswada wa fedha. Miezi minne baadaye... Tarehe 27 disemba mwaka 2024, rais akatoa kauli kuwa atakomesha utekaji nyara wa vijana. Na usemi wa mwisho siku moja iliyopita, rais akatoa kauli kuwa wote waliotekwa nyara wako huru na wameungana na jamaa zao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya