Matamshi ya Rais Ruto yanayodaiwa kuhujumu Uhuru wa mahakama yazidi kuibua hisia mseto

  • | K24 Video
    41 views

    Matamshi ya Rais William Ruto yanayodaiwa kuhujumu Uhuru wa idara ya mahakama yanazidi kuibua hisia mseto humu nchini. Matamshi hayo yalielekezwa kwa majaji ambao alidai wanajihusisha na ufisadi na kuhitilafiana na miradi ya serikali. Vugu vugu la linda jamii sasa limejitokeza na kumkashifu rais ruto kuhusu kushambulia mahakama.