Matangazo ya Dira ya Dunia TV 29/07/2020

  • | BBC Swahili
    Dakika ya 1:23 - 3:55 - Mazishi ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa Dakika ya 13:49- 16:23 - Mahujaji kutoweza kwenda Makka kwa Hijja Dakika 16:25 - 20:14 - Mahojiano ya Mtangazaji nguli wa Kenya, Khadija Ally akimzungumzia mshairi maarufu, Abdallah Mwasimba aliyezikwa hii leo.