Baraza la usalama Israel launga mkono shughuli za kijeshi Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    4,848 views
    Baraza la mawaziri la usalama la Israel, limeidhinisha rasmi mpango wa kupanua pakubwa operesheni za kijeshi huko Gaza. Jeshi la Israel limewataka maelfu ya askari wa akiba kujiandaa kwa mashambulizi hayo, kwa lengo la kushinikiza kundi la Hamas kuwaachilia huru mateka wote wa Israel waliosalia.