Mfahamu kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki duniani, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    11,018 views
    Makadinali jijini Vatican wamemchagua papa mpya kuliongoza kanisa katoliki. Papa huyo mpya amechagua jina la Leo wa kumi na nne. Jina lake asilia ni Robert Prevost - raia wa kwanza kabisa Mmarekani kuongoza kanisa Katoliki. #PapaLeoXIV #Vatican #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw