Chakula bado kinahitajika Gaza, Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    10,783 views
    Malori kadhaa yaliyobeba unga yameingia ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Kerem Shalom baada ya Israel kuzingira eneo hilo kwa muda wa wiki kumi na moja. Wakati huo huo, mashambulizi ya anga ya Israel yaliendelea usiku kucha, na inaripotiwa kuwa yameua watu kumi na nne zaidi katika eneo la kati la Gaza. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw