Chama tawala nchini Burundi chashinda viti vyote vya Bunge, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    17,697 views
    Chama tawala nchini Burundi CNDD-FDD kimeibuka mshindi wa uchaguzi wa ubunge na udiwani uliofanyika wiki jana. Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Burundi, CENI, chama hicho kimejinyakulia viti vyote 111 vya Bunge, na kushinda viti vya madiwani kwa jumla ya asilimia 96. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw