Israel yaendeleza mashambulizi dhidi ya Iran, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,873 views
    Jeshi la Israel limeanzisha wimbi la mashambulizi mapya dhidi ya Iran, huku makombora kutoka Israel yakilenga kituo cha kuboresha madini ya Urani yanayotumiwa kwa silaha za kinyuklia huko Natanz na pia katika uwanja wa ndege wa Tabriz. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw