Israel na Iran waagiza raia kuhama huku mashambulizi yakiendelea, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    18,440 views
    Jeshi la Israel limetoa ilani ya raia wa Iran kuondoka katika makazi yao ikilenga kuhamisha watu katika sehemu kubwa ya mji mkuu Tehran. Hatua hii haijawahi kushuhudiwa nchini humo. Muda mfupi baadaye, jeshi la mapinduzi la Iran pia liliwataka wakaazi wa Tel Aviv nchini Israel kuhama. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw