Raia wa Tehran na Tel Aviv wahama, vita vikiendelea kati ya Israel na Iran, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    26,247 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba anataka mwisho wa kweli wa makabiliano kati ya Iran na Israel – na wala sio tu kusitishwa kwa vita – wakati pande hizo mbili zikiendekea kushambuliana. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw