Iran yasema Marekani itajuta ikiiunga mkono Israel kwenye vita, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    21,665 views
    Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameionya Washington kuhusu madhara yasiyoweza kurekebika ikiwa Marekani itajihusisha moja kwa moja katika kampeni ya kijeshi ya Israel. Kwa mara ya kwanza kiongozi huyo ameonekana akihutubia kwa njia ya televisheni tangu mzozo huo uanze. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw