Je Iran itaweza kupambana na Marekani/Israel? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    29,371 views
    Milipuko imesikika katika mji mkuu wa Qatar Doha, dakika chache zilizopita, huku kukiripotiwa kwamba Iran imelenga kambi ya kijeshi ya Marekani iliyopo nchini humo. Jeshi la Iran limeapa kulipiza kisasi shambulizi la Marekani lililolenga vituo vitatu vya kurutubisha madini ya Urania nchini Iran.