Serikali ya Kenya yasema maandamano yalikuwa jaribio la kupendua serikali, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    11,338 views
    Serikali ya Kenya imelaani maandamano ya jana ya vijana wa Gen Z na kuyataja kama jaribio la mapinduzi ya serikali ya Rais William Ruto. Waziri wa Usalama wa Kitaifa Kipchumba Murkome amesema maandamano hayo yalichochewa na baadhi ya wanasiasa wanaotumia vijana vibaya kwa lengo la kuleta vurugu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw