Rais Samia asema Tanzania itapata katiba mpya katika muda wa miaka 5, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    8,502 views
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amehidi katiba mpya nchini humo katika muda wa miaka mitano ijayo. Rais Suluhu alikuwa akizungumza bungeni jijini Dodoma wakati wa kuvunjwa rasmi kwa bunge. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw