Kwa nini Israel bado inaishambulia Gaza? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    9,865 views
    Ndege za kivita pamoja na vifaru vya Israel vimeendelea kushambulia maeneo ya kaskazini na kusini mwa Gaza ikiripotiwa kuwa shambulizi hilo limesababisha uharibifu wa nyumba na kuwalazimu maelfu ya wakaazi kukimbia. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw