UN yasema kampuni kubwa zinafaidika na vita vya Israel Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,653 views
    Umoja wa Mataifa umelaumu makumi ya makampuni ya kimataifa kuhusika katika utekelezwaji wa uhalifu wa kivita huko Gaza na pia katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw