Trump na Netanyahu wazungumza kuhusu vita Gaza. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,283 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amesema mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yanaendelea vizuri. Trump alimkaribisha waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jijini Washington DC, huku akisema Hamas wanaonekana kutaka kukubali makubaliano ya kisitisha vita.