Kesi ya Lissu kupelekwa mahakama kuu Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    9,449 views
    Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kwa mara nyengine imeahirisha kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA, Tundu Lissu. Hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa mashtaka wa serikali kuiambia mahakama kuwa upelelezi umekamilika na wako tayari kuipeleka kesi hiyo Mahakama Kuu.