Je, Ukraine itafanikiwa kupata silaha za kujilinda dhidi ya Urusi? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    8,558 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amesema hana mpango wa kuipa Ukraine makombora ya masafa marefu. Trump pia amepuuza ripoti kwamba aliambia Kyiv kuzidisha mashambulizi kwa Urusi -ikiwemo kushambulia mji mkuu Moscow.