Makubaliano ya Doha kati ya M23 na DRC yatafaulu? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    5,100 views
    Serikali ya DRC imetia saini mkataba wa makubaliano na kundi la waasi wa M23 katika hafla iliyoandaliwa jijini Doha na kusimamiwa na uongozi wa Qatar. Pande hizo mbili zimekubaliana kuanza mazungumzo ya amani ya ana kwa ana baada ya kuafikiana kuhusu masuala muhimu yanayohusu mzozo.