Mjumbe wa Marekani azuru Gaza huku maelfu wakiendelea kukabiliana na njaa. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    8,302 views
    Mjumbe maalum wa Rais wa Marekani, Steve Witkoff, amezuru kusini mwa Gaza kukagua maeneo ya misaada ambayo yamekuwa yakikosolewa kwa kuungwa mkono na Israel na Marekani. Alikuwa ameandamana na balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, ambaye alichapisha picha hizi kwenye mitandao ya kijamii.