Je, ulimwengu umejifunza kuhusu nyuklia kutoka Hiroshima na Nagasaki? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    2,916 views
    Wiki hii itakuwa miaka 80 tangu bomu la kwanza la kinyuklia kutumiwa kushambulia raia. Baada ya Marekani kushambulia miji ya Japan ya Hiroshima na Nagasaki, vita vya pili vya dunia vilimalizika. Inadhaniwa kwamba zaidi ya watu 118,000 walifariki katika mlipuko huo ulioathiri miji hiyo miwili. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw