Waandishi 5 wa habari wauawa Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    2,520 views
    Kumekuwa na wito mkubwa duniani kulaani mauaji ya mwandishi mashuhuri wa Al Jazeera, Anas al-Sharif, katika shambulio la Israel huko Gaza. Israel inadai kuwa alikuwa kiongozi wa kikosi cha Hamas kilichopanga mashambulizi ya roketi, madai ambayo yamekanushwa vikali na shirika hilo la habari lenye makao yake nchini Qatar. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw