Kenya yabanduliwa nje ya CHAN 2024, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    2,705 views
    Matumaini ya Kenya kufuzu kwa hatua ya nusu fainali ya michuano ya CHAN 2024 yameisha kupitia mikwaju ya penalti, baada ya timu hizo kutoka sare ya bao moja katika muda wa kawaida na muda wa ziada. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw