Matatizo ya kiakili ni tishio kwa kizazi cha sasa

  • | KBC Video
    Miito imetolewa ya juhudi za pamoja za kuimarisha na kutekeleza mipango shirikishi ya kukabiliana na ongezeko la magonjwa ya kiakili. Katibu mwandamizi katika wizara ya teknolojia ya habari, mawasiliano na masula ya vijana Nadia Ahmed ametahadharisha kwamba magonjwa ya kiakili yamekuwa tishio kwa ustawi wa taifa na ipo haja ya kutafuta mbinu za dharura za kukabiliana nayo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive