Matatizo ya maradhi ya akili miongoni mwa wafanyikazi yaongezeka

  • | Citizen TV
    90 views

    Katibu Katika Wizara Ya Utoaji Huduma Za Serikali Amos Gathecha Ameonya Kwamba Takwimu Za Maradhi Ya Akili Kwa Wafanyakazi Yanaongezeka. Gathecha Aliyekuwa Akihutubia Wakurugenzi Wa Maswala Ya Wafanyikazi Katika Warsha Jijini Mombasa, Aliwarai Wawe Macho Na Kutambua Dalili Za Maradhi Ya Akili Miongoni Mwa Wafanyikazi Mapema Ili Kuimarisha Utendakazi .. Afisa Mkuu Katika Hospitali Ya Chiromo Dkt. Vincent Hongo Anasema Kwamba Matatizo Ya Akili, Yanapaswa Kuzungumziwa Peupe Ili Kukabiliana Na Unyanyapaa .