Matatu za mtu mashuhuri zinazovunja sheria zachunguzwa

  • | Citizen TV
    9,520 views

    Siku moja baada ya runinga ya Citizen kuangazia ufisadi na uvunjaji wa sheria za trafiki hapa jijini Nairobi kwa kumulika magari mawili ya uchukuzi, sasa ofisi ya kamanda wa trafiki nchini Mary Omari imetoa taarifa kuwa swala hilo linachunguzwa.