Matayarisho na maonyesho ya kilimo ya Mombasa

  • | Citizen TV
    22 views

    Huku shughuli za matayarisho ya kilimo ya Mombasa zikiendeleea, wakazi wa pwani wametakiwa kukumbatia sekta ya kilimo sawa na kaunti zengine nchini.