Matayarisho ya tohara Bungoma

  • | Citizen TV
    365 views

    Mangariba Wa Jamii Za Wabukusu Katika Kaunti Ya Bungoma Wameanza Matayarisho Ya Sherehe Za Tohara Kwa Wavulana. Sherehe Hizo Ambazo Hufanyika Kila Baada Ya Miaka Miwili Zinatarajiwa Kung'oa Nanga Mwezi Ujao. Na Kama Anavyoarifu Michael Athinya Mangariba Hao Wameanza Kunadhifisha Visu Vitakavyotumika Kwenye Shughuli Hiyo.