Matayarisho ya uchaguzi wa UDA yaendelea katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    278 views

    Chama cha UDA kilijiandaa kwa uchaguzi wa viongozi kote nchini, viongozi wa chama hicho wameendeleza uhamasisho kwa wanachama katika kaunti ya Busia mbali na kusajili wanachama wapya. Wakiongea mjini Busia baada ya mkutano na baadhi ya wanachama wa UDA katika kaunti hiyo, viongozi hao wakiongozwa na mkurugenzi wa maswala ya wanachama Samuel Mwangi wanaendeleza uhamasisho kwa wanachama kote nchini kabla ya uchaguzi wa viongozi wa mashinanu unaotarajiwa