Mateka mdogo wa Israel aungana tena na baba yake

  • | BBC Swahili
    1,902 views
    Tazama namna Ohad Munder mwenye umri wa miaka tisa, ambaye alikuwa ameshikiliwa mateka kwa siku 48, akimkimbilia baba yake baada ya kuachiliwa huru na Hamas katika makubaliano ya hivi karibuni. Video iliyotolewa inaonyesha mama yake Ohad, Karen na bibi yake, Ruthi, pia wakiwa wameungana na familia yao. Israel imewaachia huru wafungwa wa Kipalestina na kukubali kusitishwa kwa mapigano kwa muda huko Gaza. #bbcswahili #gaza #hamas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw