- 416 viewsQaid Farhan Alkadi, mateka wa Israeli ambaye hivi karibuni aliokolewa alipokuwa akishikiliwa na Hamas huko Gaza, alipokelewa kwa furaha katika Kituo cha Afya cha Soroka mjini Beersheba (Agosti 28). Kanda ya video iliyochukuliwa kutoka kituo hicho cha afya inaonyesha Alkadi akiwa amezungukwa na wanafamilia na maafisa wa jeshi, akitembea kutoka hospitalini. Tafrija hiyo iliendelea karibu na Rahat, Israel, ambako Alkadi alionekana akiwa amekaa ndani ya hema katika kijiji ambako yako makazi yake Ubeduini. When asked about his feelings post-rescue, Alkadi, speaking in Hebrew, Alipoulizwa ulizwa kuhusu hisia zake baada ya kuokolewa, Alkadi, akizungumza kwa lugha ya kiebrania alisema ni faraja kubwa na kutaka hatua zichukuliwe kuwarejesha wale ambao bado wanashikiliwa. #gaza #ukandawagaza #mateka #israeli #jeshi #voa #voaswahili #qaidfarhanalkadi #hamas #palestina #wapalestina
Mateka wa Israeli aliyeokolewa alakiwa na ndugu, marafiki akitoka hospitali
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges
- 6 Aug 2025 - Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs
- 6 Aug 2025 - Raila's sudden opposition to NG-CDF after 20 years silence
- 6 Aug 2025 - The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban
- 6 Aug 2025 - How firm's bid to turn waste into cash is paying off