Mathare United waichapa Ulinzi Stars 1-0; Gor Mahia kuivaa Murang’a Seal kesho

  • | NTV Video
    40 views

    Mabingwa wa mwaka 2008 wa ligi kuu ya kandanda humu nchini Mathare United waliishinda Ulinzi Stars bao moja kwa nunge uwanjani Dandora hapa jijini Nairobi. Kesho mabingwa watetezi Gor Mahia watakuwa wageni wa Murang’a Seal.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya