Matibabu kwa wote | Hazina ya kitaifa ya afya ya kijamii kuzinduliwa

  • | KBC Video
    67 views

    Serikali inatarajiwa kuzindua bima ya kijamii ya matibabu kuanzia tarehe moja mwezi Julai mwaka huu kama sehemu ya ajenda yake ya kufanikisha mpango wa afya kwa wote. Akiongea leo jijini Nairobi alipofungua rasmi kongamano la kitaifa kuhusu ugonjwa wa saratani, waziri wa afya Susan Nakhumicha alisema hatua hiyo itahakikisha wakenya wote wanapata huduma bora za matibabu. Kwa upande wake, gavana wa kaunti ya Kisumu Profesa Peter Anyang' Nyong'o alisema kongamano hilo kuhusu saratani linatoa fursa kwa Wa-Afrika kushirikiana na kubuni mikakati mipya ya kukabiliana na ugonjwa wa saratani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #afya #News #saratani