Matibabu ya IVF itakayowasaidia wanawake tasa kupata ujauzito

  • | K24 Video
    32 views

    Mwanamke kuwa tasa ni mojawapo ya unyanyapaa ambayo wanawake wengi hupitia kwenye jamii. Wengi wao hupelekea kuishi maisha ya upweke bila mchumba na kumsababisha kutengwa kwa kukosa kupata mtoto. Hata hivyo wapo wanaotafuta suluhu kama vile matibabu ya IVF ili kumpa fursa mwanamke hatimaye kupata ujauzito.