Matingatinga ya kujenga barabara yafika Kilifi

  • | Citizen TV
    809 views

    Wakaazi wa kaunti ya Kilifi wameipongeza serikali ya kaunti hiyo kwa kununua matingatinga ya kujenga barabara wakisema kuwa hatua hiyo itapunguza ufisadi katika idara ya barabara.