MATOKEO DUNI YA KCSE

  • | KBC Video
    20 views

    Wadau katika sekta ya elimu kaunti ya Migori wamewahimiza wazazi na wanafunzi kuwa na subira huku wakichunguza sababu za matokeo duni na kuzuiliwa kwa matokeo ya mtihani wa KCSE ya shule ambazo awali zilikuwa zikitia fora kwenye mtihani huo. Wadau hao wametahadharisha wazazi dhidi ya kuchukua hatua zisizofaa kama vile kuwafurusha walimu wakuu na walimu ambao shule zao zilikuwa na matokeo duni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive