Matokeo ya uchaguzi Kenya 2022: Mwanamke mdogo zaidi kuwakilisha bungeni

  • | BBC Swahili
    1,527 views
    Linet chepkorir ‘Toto’, mwenye umri wa miaka 24 ambaye amepata kura 242,775 na kuwapiku wagombea wengine nane aliokuwa akishinda nao kwenye uchaguzi wa nchini Kenya. Linet chepkorir ‘Toto’, anakuwa mwanamke mwenye umri mdogo zaidi kuwa mwakilishi Bungeni. Hii ni kazi yake ya kwanza kabisa, anatoka katika familia yenye uwezo wa hali chini, akiwa ni mtoto wa tatu kwa Bwana Richard langat na mkewe Bety langat. #kenya #matokeoyauchaguzikenya2022 #bbcswahili