Matokeo ya uchaguzi Kenya 2022: 'Nimeona kuna mabadiliko ya upigaji kura'

  • | BBC Swahili
    3,215 views
    Huku Wakenya wakisubiri matokeo ya uchaguzi wa urais, bi Angeline Akai aliweza kutekeleza haki bila tatizo lolote licha ya kuwa na ulemavu wa macho. #matokeoyauchaguzikenya2022 #kenya #bbcswahili