Matokeo ya uchaguzi Kenya 2022: Nini hutokea baada ya matokeo kutangazwa na IEBC

  • | BBC Swahili
    4,236 views
    Huku Wakenya wakisubiri matokeo ya uchaguzi mkuu ulioshuhudia ushindani mkali, tunaangazia kile kinachoweza kutokea baada ya matokeo ya urais kutangazwa rasmi. Haya hapa matukio manne yanayoweza kutokea pindi tume ya uchaguzi itakapotangaza rasmi rais mteule wakati wowote kutokea sasa. #matokeoyauchaguzikenya2022 #bbcswahili #kenya