Matokeo ya uchaguzi Kenya 2022: Raila Odinga apinga matokeo ya uchaguzi

  • | BBC Swahili
    4,653 views
    Kiongozi wa muungano wa Azimio nchini Kenya Raila Odinga amepinga matokeo ya uchaguzi uliomtangaza naibu wa rais William Ruto kuwa ndiye rais mteule. Raila amesema kwamba hakubaliani na matokeo hayo kwasababu mwenyekiti wa tume hiyo alikiuka katiba kabla ya kumtangaza mshindi. Amesema kwamba makamishna wa tume hiyo hawakukubaliana kuhusu hesabu ya mwisho ya matokeo hayo yaliompatia ushindi William Ruto. #kenya #matokeoyauchaguzikenya2022 #bbcswahili