Matokeo ya Uchaguzi Kenya 2022: Wakenya wasubiri matokeo

  • | BBC Swahili
    34,683 views
    Huku Wakenya wakisubiri matokeo ya uchaguzi mkuu ulioshuhudia ushindani mkali kutoka kwa William Ruto na Raila Odinga. BBC itakuletea habari za matokeo pindi yatakapotangazwa na Tume huru ya uchaguzi na mipaka ya IEBC. #matokeoyauchaguzikenya2022 #bbcswahili #kenya