Matokeo ya uchaguzi mdogo

  • | Citizen TV
    2,956 views

    Ujumuishaji wa kura ungali unaendelea katika uchaguzi mdogo wa useneta kaunti ya Bungoma. Msimamizi wa uchaguzi huo amesema mshindi atatangazwa wakati wowote sasa. Kwingineko, washindi wa uchaguzi mdogo wa wadi za Gem Kusini na Utawala wametamgazwa. Chama cha ODM kimepoteza kiti cha Gem Kusini kaunti ya Siaya baada ya mgombea huru Brian Ochieng kushinda kiti hicho. Chama cha Jubilee nacho kimeshinda kiti cha uwakilishi wadi cha Utawala kupitia Patrick Karani.