Matuamini ya Simiyu | Joseph Simiyu ni muhudumu wa bodaboda hapa Nairobi

  • | Citizen TV
    1,011 views

    Licha ya mguu wake mmoja kukatwa kufuatia ajali ya barabarani miaka miwili iliyopita, Muhudumu wa bodaboda Joseph Simiyu aliamua kuanza upya maisha yake ili kujikimu kimaisha. Lakini kwa Simiyu, licha ya kuwa baadhi ya wateja huogopa kubebwa naye kwa kuwa na mguu mmoja, anasema kuna wale wanaompa motisha katika kazi yake.