Skip to main content
Skip to main content

Matukio ya Oktoba 29 Tanzania: "Tujiulize unaenda kuridhiana na nani?"

  • | BBC Swahili
    37,787 views
    Duration: 7:09
    Ripoti ya tume iliyoundwa na serikali kuchunguza matukio ya vurugu ya wakati na baada ya uchaguzi imewasilishwa kwa rais April 23. Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua. Katika ripoti hii kuna mambo kadhaa ya kuyazingatia. #bbcswahili #tanzania29 #octoba29 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw