Matumaini kwa wakulima nchini

  • | K24 Video
    Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa atahakikisha pesa zinaongezeka kwenye mifuko ya wakulima kote nchini huku wakulima wa majani chai,kahawa na hata maziwa wakiwa miongoni mwao. Rais  ameiagiza wizara ya kilimo na ile ya viwanda  kushirikiana na washikadau wote ili kuhakikisha hayo yametekelezwa.