Skip to main content
Skip to main content

"Matumaini ya kupata katiba mpya ni makubwa sana awamu hii"

  • | BBC Swahili
    72,555 views
    Duration: 1:49
    Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu, sera, bunge na uratibu nchini humo Prof. Palamagamba Kabudi amesema tume iliyotoa ripoti ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 ilifanya kazi yake kwa mujibu wa sheria za taifa hilo. Ameungumza na mwandishi wa BBC Peter Mwangangi. 🎥: Brian Mala #bbcswahili #tanzania #oktoba29 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw